Theodosius Mkuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarafu inayomwonyesha Kaizari Theodosius
Sarafu inayomwonyesha Kaizari Theodosius

Flavius Theodosius (11 Januari, 34717 Januari, 395) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 15 Mei, 392 hadi kifo chake. Kabla hajatawala dola zima, alikuwa Kaizari upande wa Mashariki kuanzia Agosti 378. Upande wa Mashariki alimfuata Valens. Theodosius alikuwa Kaizari wa mwisho aliyetawala dola zima la Roma. Wana wake wawili walishiriki utawala, Honorius upande wa Magharibi, na Arcadius upande wa Mashariki.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Theodosius Mkuu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Theodosius Mkuu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi