Theodor Seuss Geisel
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theodor Seuss Geisel (2 Machi, 1904 – 24 Septemba, 1991) alikuwa mwandishi na mchoraji vielezo kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa vitabu vyake kwa watoto alivyoviandika chini ya jina la Dr. Seuss.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theodor Seuss Geisel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |