Marc Predka (aliyezaliwa Aprili 21, 1975), ambaye anajilikana kwa jina la kisanii kama Tha Trademarc, ni mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani. Mara ya kwanza kujulikana kwa umaarufu ilikuwa wakati yeye na binamu yake wa kwanza mwanamiereka wa WWE John Cena walishirikiana mnamo 2005 kutoa albamu You Can't See Me[1]. Pia anaonekana katika video za nyimbo , ‘’Bad Bad Man’’ na ‘’Right Now’’ ambazo amefanya na John Cena. Leo hii yeye hufanya kazi katika kitengo cha elimu ya waiosjiweza katika Shule ya Maynard kule Maynard, Massachusetts.
Mnamo Agosti 2007, Trademarc alionekana katika miereka ya Total Nonstop Action Wrestling, ‘’Hard Justice’’ kama ‘’Mpenzi mpya’’ wa Karen Angle, ambayo baadaye ilithibitishwa kuwa uvumi wakati Karen na Trademarc walimsaidia bwanake Kurt Angle kushinda mechi. .[2].
Alionekana tena katika iMPACT! wiki iliyofuatia .[3]. Akiendelea kufanya kazi na TNA, alitoa wimbo wa kiingilio wa Kurt Angle ‘’Gold Medal’’ ambao aliufanya kwa kuchanganya rap kutoka Lunatic Fringe na utunzi wa TNA wa "My Quest" [1]. Mnamo 2008 alitoa solo Albamu yake ya kwanza Inferiority Complex.
[hariri] East Coast Avengers
Mnamo Aagosti 2008 Trademarc aliungana na wasanii wa rap kutoka Massachusetts Esoteric na DC The Mid Alien kuunda kundi la East Coast Avengers. Albamu yao ya kwanza ilitoka baadaye 2008 ikiitwa Prison Planet. Kufikia sasa wametoa single iliyo na utata ya "Kill Bill O'Reilly" wakionyesha kuudhika kwao kwa msimulizi wa maswala ya siasa Bill O'Reilly na show yake katika televisheni ya Fox News Channel [4]. Katika wimbo huu wanaongelea jinsi O’Reilly huongea uongo na kubadili ukweli mara kwa mara. Uchambuzi wa wimbo huo na Michelle Malkin uliwafanya kutoa wimbo mwingine wa "Dear Michelle" kama jibu. .[5]. Wametoa pia wimbo mwingine uitwao "Hey America".
[hariri] Diskografia
[hariri] Akimshirikisha John Cena
[hariri] Peke ya yake
[hariri] Akiwashirikisha East Coast Avengers
- ↑ Cite error: Invalid
<ref> tag; no text was provided for refs named mylife
- ↑ Hard Justice 2007 results. Online World of Wrestling. Rudishwa juu ya 2007-09-06.
- ↑ TNA iMPACT! results - August 16, 2007. Online World of Wrestling. Rudishwa juu ya 2007-09-06.
- ↑ Wells, Steven (2008) "Rap group call for the death of Bill O'Reilly", The Guardian, August 19, 2008
- ↑ Crawford, Byron (2008) "No, really, kill Bill O’Reilly", XXLmag, August 22, 2008
[hariri] Viungo vya Nje
|
List of music albums produced by WWE Music Group |
|
| Compilations |
|
|
| One-off albums |
|
|
| Related articles |
|
|