Terror Squad (studio)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Terror Squad Entertainment)
Terror Squad (studio)
Shina la studio EMI
Imeanzishwa 1992
Mwanzilishi Fat Joe
Usambazaji wa studio Virgin Records
Aina za muziki Hip hop
Nchi Marekani
Mahala The Bronx, New York

Terror Squad (zamani iliitwa Terror Squad Entertainment) ni studio ya kurekodia muziki wa hip hop na R&B iliyoanzishwa na msanii wa hip hop maarufu kama Fat Joe, mjini The Bronx, New York, Marekani.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1992. Kazi za studio hiyo zilikuwa zikisambazwa na studio ya Relativity Records na Atlantic Records, lakini sasa, kazi za DJ Khaled zinasambazwa na studio ya Imperial Records na Virgin Records ya EMI.

Vinara waliopo[hariri | hariri chanzo]

Wasanii[hariri | hariri chanzo]

Watayarishaji[hariri | hariri chanzo]

Wasanii wa zamani[hariri | hariri chanzo]

Wasanii waliowahi kufanyakazi nao[hariri | hariri chanzo]

Albamu za Terror Squad[hariri | hariri chanzo]

Zilizotoka Baadaye[hariri | hariri chanzo]

  • 2008: Terror Squad - A New Story
  • 2008: Tony Sunshine - Finally
  • 2008: DJ Khaled - We Global