Terror Squad (studio)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Terror Squad (studio)
Shina la studio EMI
Imeanzishwa 1992
Mwanzilishi Fat Joe
Usambazaji wa studio Virgin Records
Aina za muziki Hip hop
Nchi Marekani
Mahala The Bronx, New York

Terror Squad (zamani iliitwa Terror Squad Entertainment) nis tudio ya kurekodia muziki wa hip hop na R&B iliyoanzishwa na msanii wa hip hop maarufu kama Fat Joe, mjini The Bronx, New York, Marekani. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1992. Kazi za studio hiyo zilikuwa zikisambazwa na studio ya Relativity Records na Atlantic Records, lakini sasa, kazi za DJ Khaled zinasambazwa na studio ya Imperial Records na Virgin Records ya EMI.

Yaliyomo

[hariri] Historia

[hariri] Vinara waliopo

[hariri] Wasanii

  • Fat Joe (mmiliki)
  • Terror Squad
  • DJ Khaled
  • Kill All Rats Mafia
  • Rob Cash
  • Mike Beck
  • Onez
  • Pistol Pete
  • O.Z.
  • The Leader
  • H Mob
  • Sien El Letal
  • "Big Q. El Bouncer" kutoka Norfolk,Virginia(Amezaliwa na kukulia nchini Puerto Rico) (Msanii wa Reggaeton)

[hariri] Watayarishaji

[hariri] Wasanii wa zamani

[hariri] Wasanii waliowahi kufanyakazi nao

[hariri] Albamu za Terror Squad

[hariri] Zilizotoka Baadaye

  • 2008: Terror Squad - A New Story
  • 2008: Tony Sunshine - Finally
  • 2008: DJ Khaled - We Global
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine