Tembo-bahari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tembo-bahari
See elefanten edit.jpg
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Phocidae (Wanyama walio na mnasaba na sili)
Jenasi: Mirounga
Gray, 1827
Spishi: M. angustirostris (Gill, 1866)

M. leonina (Linnaeus, 1758)

Tembo-bahari (kutoka Kijerumani: see-elefant, Kisayansi: Mirounga) ni jenasi ya wanyama wakubwa wa Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Kusini wenye mkonga mfupi kama tembo.

[hariri] Spishi

Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na tembo-bahari kaskazini (buluu)
Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na tembo-bahari kusini (feruzi)
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Tembo-bahari" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili see-elefant kutoka kwa lugha ya Kijerumani. Neno (au maneno) la jaribio ni tembo-bahari.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine