Tauranga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
|
|---|---|
Mji wa Tauranga (New Zealand) |
|
|
|
|
| Mkoa | Bay of Plenty |
| Anwani ya kijiografia | Latitudo: 37°41′0″ - Longitudo: 176°10′0″E |
| Eneo | 168 km² |
| Wakazi | 114,300 (mji pekee) 120,000 (pamoja na rundiko) |
| Msongamano wa watu | watu 680.4 (mji pekee) kwa km² |
| Simu | +64 (nchi), 07 (mji) |
| Mahali | |
Tauranga (Kimaori: Tauranga-moana) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 143,000 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 98 km². Mji ulinazishwa mwaka 1838.
Viungo vya nje[hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tauranga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |