Tanzania Labour Party

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu "Tanzania Labour Party" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Tanzania Labour Party (yaani Chama cha wafanyakazi Tanzania; kifupi: TLP) ni chama cha siasa nchini Tanzania.