Wilaya ya Tanganyika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tanganyika, Kongo)
Wilaya ya Tanganyika ni eneo katika Mkoa wa Katanga wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ufukoni wa Ziwa la Tanganyika.
Makao makuu ya wilaya yako Kalemie. Hapa ni mwanzo wa reli kwenda magharibi-kusini.