Sydney Clouts
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sydney Clouts (1926 - 1982) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifanya kazi kama mkutubi mjini London, Uingereza. Hasa alitunga mashairi.
Vitabu vyake [hariri]
- One Life (1966)
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sydney Clouts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |