"Swear It Again" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife. Wimbo huu uliotoka kama single ya kwanza kutoka katika kundi la Westlife. Ulishika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki wa Uingereza Ufalme wa Muungano,Ilifanikiwa kuuza nakala 182,000 katika wiki ya kwanza tangu itoke.Wimbo huu umekuwa wimbo kati ya nyimbo kumi na nne kufika namba moja katika chati ya muziki wa Uingereza
Hadi sasa, wimbo huu, ndio umekuwa wimbo pekee wa kundi la Westlife kuwahi kufanya vizuri katika chati ya muziki ya Marekani kufika namba 20, na kuweza kushika nafasi ya 75, katika chati ya muziki ya Marekani halikadhalika kuwa kati ya nyimbo 100 bora zaidi kwa mwaka 2000. Wimbo huu uliimbwa moja kwa moja katika mashindano ya urembo ya Marekani ya chini ya miaka ishirini kwa mwaka 2000
Hadi sasa, wimbo huu umeuza nakala zaidi ya 400,000 katika nchi za Uingereza na Marekani. na kushika nafasi ya pili katika chati ya muziki ya Marekani na kufanikiwa kufikia malengo yaliyotarajiwa kufikiwa nchini humo.
Wimbo wa Until The End of Time, wimbo kutoka kwa mwimbaji kutoka Bara la Asia, ulitoka kama single nchini Taiwani na nchini Ubelgiji. Toleo la Ubelgiji lilijumuisha nyimbo kama Let's Make Tonight Special na katika kalenda za siku za kuzaliwa za watu maarufu nchini humo na katika wavuti.[1]
Mtiririko wa Nyimbo [hariri]
CD ya Kwanza ya Uingereza [hariri]
- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Forever - 5:05
- CD-Rom (Interview & Video Clips)
CD ya pili ya Uingereza [hariri]
- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Swear It Again (Rokstone Mix) - 4:07
- Ronan Keating Interview - 3:36
CD ya Australia [hariri]
- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Sweat It Again (Rokstone Mix) - 4:07
- Forever - 5:05
- Ronan Keating Interview - 3:36
- Enhanced Section (Interview and Video Clips)
Cd ya Asia [hariri]
- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Until The End Of Time (Unreleased in the UK) - 3:12
- Let's Make Tonight Special (Unreleased in the UK) - 4:57
- Don't Calm The Storm (Unreleased in the UK) - 3:47
- Forever - 5:05
- Everybody Knows - 4:09
- Ronan Keating Interview - 3:36
CD ya Marekani [hariri]
- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- My Private Movie (Snippet)
- I Don't Wanna Fight (Snippet)
- Can't Lose What You Never Had (Snippet)
- Flying Without Wings (Snippet)
Nyimbo za video [hariri]
Toleo la Uingereza [hariri]
Video hii ilitengenezwa na bendi hii katika studio ndogo, wakati waimbaji hawa wakiimba katika jukwaa huku taa mbalimbali zikiwamulika. Na pia Kutengeza vido ya rangi nyeusi na Nyeupe katika studio zao wenyewe.
Ikiongoza na Wayne Isham ilitoka kwa mara ya kwanza mwezi Mei 1999.[2]
Toleo la Marekani [hariri]
Toleo la Marekani linaonesha kundi hili likiwa katika eneo la kuoshea magari na baadae wakiwa wanasafisha gari la rangi nyeupe.
Wimbo huu wa Video uliiongozwa na Nigel Dick na ulitoka kwa mara ya kwanza mwezi Juni 2000.[2]
Historia ya Kutoka [hariri]
| Mahali |
Tarehe |
| Uingereza |
Aprili 12, 1999 (1999-04-12) |
| Marekani |
Februari 25, 2000 (2000-02-25) |
Chati ya Mwisho wa Mwaka [hariri]
| Nchi/Chati |
Ilishika
nafasi |
| Australia |
79 |
| Uingereza |
46 |
| Marekani. |
75 |
Wafanyakazi [hariri]
Viunga vya Nje [hariri]
|
|
|
|
|
|
| Albamu |
|
|
| Albamu za kushukuru na kuridiwa |
|
|
| Albamu za Vibao Vikali |
|
|
| Albamu za kompilesheni |
No. 1 Hits and Rare Tracks (2000) • Released (2005)
|
|
| Ziara za Live na DVD |
|
|
| Muziki na Makala ya DVD |
The Westlife Story • Flying Without Wings Karaoke • Coast To Coast - Up, Close and Personal • Uptown Girl • World Of Our Own • Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 • Westlife - The Complete Story • Back Home • The Karaoke Collection
|
|
| Tawasifu |
Westlife - Our Story
|
|
| Makala Zinazohusiana |
|
|