Surinam (mto)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mto Surinam Surinamerivier |
|
|---|---|
|
|
|
| Chanzo | Milima ya Wilhelmina (Surinam) |
| Nchi | Surinam |
| Urefu | 480 km |
| Kimo cha chanzo | 900 m |
| Tawimito | Commewijne |
| Mkondo | m³/s |
| Eneo la beseni | 16,500 km² |
| Miji mikubwa kando lake | Paranam, Paramaribo |
Mto Surinam ni kati ya mito mikubwa nchini Surinam (Amerika Kusini). Bwawa la Brokopondostuwmeer inagawa mto katika sehemu mbili.
Inapita katika mji mkuu Paramaribo.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Surinam (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |