Sumbawanga Vijijini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Sumbawanga Vijijini katika mkoa wa Rukwa.
Wilaya Sumbawanga Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 373,080 [1].
Marjeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sumbawanga Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Sumbawanga Vijijini – Mkoa wa Rukwa - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Kaengesa | Kalambazite | Kaoze | Kasanga (Ufipa) | Katazi | Kipeta | Laela | Legezamwendo | Lusaka (Rukwa) | Mambwekenya | Mambwenkoswe | Matai | Miangalua | Milepa | Mkowe | Mpui | Msanzi | Mtowisa | Muze | Mwazye | Mwimbi | Sandulula | Sopa |
||