Steve Porcaro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Steve Porcaro | |
|---|---|
| Jina la kuzaliwa | Steven Maxwell Porcaro |
| Amezaliwa | 2 Septemba 1957 |
| Asili yake | Hartford, Connecticut, Marekani |
| Kazi yake | Mpigaji kinanda na mtunzi |
| Ala | Kinanda |
| Ameshirikiana na | Toto |
Steven Maxwell "Steve" Porcaro (amezaliwa tar. 2 Septemba 1957, mjini Hartford, Connecticut) ni mpigaji kinanda na mtunzi wa nyimbo ambaye alikuwa mwanachama halisi wa bendi ya muziki wa rock/pop, Toto.
[hariri] Viungo vya Nje
- (Kiingereza) Official Toto website
- Steve Porcaro kwenye Internet Movie Database
- (Kifaransa) TOTO-Hydrasolation — Le site Web des Fans de TOTO
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Steve Porcaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |