Stephen Watson
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stephen Watson (6 Novemba 1954 - 10 Aprili 2011) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Cape Town. Hasa aliandika mashairi kuhusu mji wake wa Cape Town. Mwaka wa 2011 aliaga dunia baada ya kupatwa na kansa.
Maandishi yake [hariri]
- Poems 1977-1982 (1982)
- In This City (1986)
- Return of the Moon (1991)
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stephen Watson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |