Stephen Black
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stephen Black (1880 - 1931) alikuwa mwandishi wa habari nchini Afrika Kusini. Hasa aliandika tamthiliya, baadhi yao Love and the Hyphen (1908). Pia alianzisha jarida moja, jina lake The Sjambok (lilitolewa miaka mitatu tu, 1929-1931).
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stephen Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |