Stenungsund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stenungsund

Stenungsund ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 10,067 (mwaka 2005). Iko kando ya Ziwa Vänern.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 11.14 km². Iko kando ya Kattegat. Umbali na Jiji la Göteborg ni 30 km.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Stenungsund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.