St. John's (Antigua na Barbuda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la St. John's
Nchi Antigua na Barbuda
Barabara mkuu wa St. John

St John's ni mji mkuu wa Antigua na Barbuda katika Antili Ndogo za Bahari ya Karibi (Amerika ya Kati). Mji uko kwenye kisiwa cha Antigua. Kuna wakazi 24,226 (mwaka 2000) hivyo ni pia mji mkubwa kabisa wa nchi ndogo.


[hariri] Viungo vya Nje

World.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu St. John's (Antigua na Barbuda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.