Space Bandits

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Space Bandits
Space Bandits Cover
Studio album ya Hawkwind
Imetolewa 24 Septemba 1990


Space Bandits ni albamu ya studio ya 1990 iliyotolewa na bendi ya Uingereza ya space rock inayoitwa Hawkwind. Ilikaa katika chati za UK album kwa juma moja katika nafasi ya 70.[1]

Kufikia katikati mwa 1989, kundi hili lilibadilisha mpangilio wao huku mcheza gita Dave Brock, mcheza keyboard Harvey Bainbridge na mcheza basi Alan Davey wakibakia. Mcheza drum Richard Chadwick alikuwa amejisimamia huku mcheza gita ya lead Huw Lloyd-Langton akiondoka, nafasi yake wakati nwingine ikijazwa na aliyekuwa akicheza keyboard Simon House. Mwimbaji Bridget Wishart alikuwa ameanza kuimba na kundi hilo. Mpangilio huu mpya ulirekodi live performance ya dakika 60 katika studio za televisheni ya Lenton Lane, Nottingham mnamo 25 Januari 1990 kwa tamthilia ya TV Bedrock, ambayo baadaye ilitolewa kama video ya Nottingham 1990.

Bendi hii iliingia Rockfield Studios mnamo Aprili hadi Juni kurekodi albamu hii ambayo ilitayarishwa na Paul Cobbold. "Black Elk Speaks", ikiangazia kionjo cha John Neihardt akisoma kutoka kiabu chake Black Elk Speaks, ushuhuda wa Black Elk ulivyotolewa kwa Neihardt.

Kundi hili lilichukua ziara ya siku 25 nchini UK mnamo Oktoba na Novemba ili kukuza albamu yao, ingawa House alikuwa ameliacha kundi wakati huo.[2]. Hii ilifuatiwa na mialiko 18 ya North America mnamo Desemba, show ya Oakland Omni Theatre mnamo 16 Desemba ikirekodiwa na kutolewa kama California Brainstorm.

Mpangilio wa Vibao[hariri | hariri chanzo]

Sehemu 1[hariri | hariri chanzo]

  1. "Images" (Bridget Wishart, Dave Brock, Alan Davey) – 9:34
  2. "Black Elk Speaks" (Black Elk, Brock) – 5:15
  3. "Wings" (Davey) – 5:22

Sehemu 2[hariri | hariri chanzo]

  1. "Out of the Shadows" (Doug Buckley, Brock, Davey) – 4:57
  2. "Realms" (Davey) – 3:26
  3. "Ship of Dreams" (Brock) – 5:13
  4. "T.V. Suicide" (Harvey Bainbridge) – 5:20

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Shukrani kwa[hariri | hariri chanzo]

Historia ya Matoleo[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hawkwind". Chart Stats. UK albums chart. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-05. Iliwekwa mnamo 2009-08-20. 
  2. Youles, Steve. "Gig and Set Lists 1990". Starfarer's hawkwind Page. self-published. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-26. Iliwekwa mnamo 2009-08-20.