Soera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kata ya Soera
Nchi Tanzania
Mkoa Dodoma
Wilaya Kondoa
Idadi ya wakazi
 - Mji 7,034

Soera ni jina la kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 7,034 waishio humo. [1] Baadhi ya vijiji vya kata ya Soera vyenye shule ya msingi ni Soera yenyewe, Humai, Isabe na Kwadinu. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Soera ni Waalagwa.

Marejeo[hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bereko | Bumbuta | Busi | Chandama | Changaa | Chemba | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Haubi | Jangalo | Kalamba | Kikilo | Kikore | Kingale | Kisese | Kolo | Kondoa Mjini | Kwadelo | Kwamtoro | Lalta | Makorongo | Masange | Mnenia | Mondo | Mpendo | Mrijo | Ovada | Pahi | Paranga | Sanzawa | Soera | Suruke | Thawi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Soera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.