Singida Mjini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Singida Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida (Tanzania). Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 115,354 [1].
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Singida Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Singida Mjini - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Ipembe | Kindai | Majengo (Singida) | Mandewa | Mitunduruni | Mtamaa | Mtipa | Mughanga | Mungumaji | Mwankoko | Unyambwa | Unyamikumbi | Utemini |
||