Sinema ya nyumbani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Projection screen ya sinema ya nyumbani yenye mita 3 na inchi 19.

Sinema ya nyumbani (kutoka kiing.: home theater) ilitengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na inaweza kutoa ubora wa picha sawa na ile ya jumba la sinema, kuanzia picha hadi sauti. Kifundi, sinema ya nyumbani ni rahisi kabisa namna ya kuifunga kwake, kwani hupangwa na televisheni, DVD, na seti ya spika.


[hariri] Marejeo

  1. http://www.guerilladrivein.org/
  2. http://www.mobmov.org/


WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Sinema ya nyumbani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Sinema ya nyumbani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.