Simply the Best

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simply the Best
Simply the Best Cover
Greatest hits ya Tina Turner
Imetolewa Oktoba 1991
Lebo Capitol
Single za kutoka katika albamu ya Simply the Best
  1. "It Takes Two (akishirikiana na Rod Stewart)"
  2. "Nutbush City Limits (Toleo la 90's)"
  3. "Way of the World"
  4. "Love Thing"
  5. "I Want You Near Me"


Simply the Best ni albamu ya Tina Turner kutoka mkusanyiko wake wa 1991 Greatest Hits ambao unashirikisha ngoma zake zote zilizovuma zaidi tangu kurejea kwake katika muziki mnamo miaka ya 1980. Pia inashirikisha ngoma tatu mpya: Love Thing (UK Airplay #13), I Want You Near Me (#22 UK), and Way of the World (UK Airplay #6 and UK #13) na pia toleo lililorekodiwa tena la mwenendo wa dance la wimbo mwake wa zamani "Nutbush City Limits", zote zikiwa zimetolewa kama single mnamo 1991 na 1992. Albamu hii ndiyo yenye mauzo bora zaidi kwa Tina nchini UK ambapo ndiyo albamu inayouza zaidi, huku ikiuza nakala milioni 2.4 za ziada[1]. Ilidhibitishwa katika kiwango cha mara nane Platinum nchini UK na ikakaa kwa chati za UK kwa majuma 140. Albamu hii iliuza nakala milioni 7 dunia nzima. [2].

Mkusanyiko huu ulitolewa na mpangilio tofauti kidogo wa ngoma nchini US, huku ngoma Addicted To Love (Live)" na "Be Tender With Me Baby" zikibadilishwa na nafasi yake kuchukuliwa na "What You Get Is What You See" na "Look Me in the Heart".

Mpangilio wa Vibao[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Best" (7" Edit) (Chapman, Knight) – 4:10
  2. "What's Love Got to Do with It" (Britten, Lyle) – 3:50
  3. "I Can't Stand the Rain" (Bryant, Miller, Peebles) – 3:44
    • From 1984 album Private Dancer
  4. "I Don't Wanna Lose You" (Hammond, Lyle) – 4:18
    • From 1989 album Foreign Affair
  5. "Nutbush City Limits" (Toleo la 90's) (Turner) – 3:44
    • Original version appears on Ike & Tina Turner 1973 album Nutbush City Limits
  6. "Let's Stay Together" (7" Edit) (Green, Jackson, Mitchell) – 3:39
    • Original version appears on 1984 album Private Dancer
  7. "Private Dancer" (7" Edit) (Knopfler) – 4:01
    • Original version appears on 1984 album Private Dancer
  8. "We Don't Need Another Hero (Thunderdome)" (7" Edit) (Britten, Lyle) – 4:14
  9. "Better Be Good to Me" (7" Edit) (Chapman, Chinn, Knight) – 3:40
    • From 1984 album Private Dancer
  10. "River Deep - Mountain High" (Original 1966 version) (Barry, Greenwich, Spector) – 3:37
    • From 1966 Ike & Tina Turner album River Deep - Mountain High
  11. "Steamy Windows" (White) – 4:02
    • From 1989 album Foreign Affair
  12. "Typical Male" (Britten, Lyle) – 4:14
  13. "It Takes Two" (akishirikiana na Rod Stewart) (Moy, Stevenson) – 4:13
  14. "Addicted to Love" (Live/Single Mix) (Palmer) – 5:04
  15. "Be Tender with Me Baby (David, Hammond) – 4:17
    • From 1989 album Foreign Affair
  16. "I Want You Near Me" (Britten, Lyle) – 3:53
    • Previously unreleased recording
  17. "Way of the World" (Hammond, Lyle) – 4:19
    • Awali haikutolewa
  18. "Love Thing" (Hammond, Knight) – 4:28
    • Awali haikutolewa

Toleo la U.S.[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Best" (7" Edit) (Chapman, Knight) – 4:10
  2. "Better Be Good to Me" (7" Edit) (Chapman, Chinn, Knight) – 3:40
  3. "I Can't Stand the Rain" (Bryant, Miller, Peebles) – 3:44
  4. "What's Love Got to Do with It" (Britten, Lyle) – 3:50
  5. "I Don't Wanna Lose You" (Hammond, Lyle) – 4:18
  6. "Nutbush City Limits" (Toleo la 90's) (Turner) – 3:44
  7. "What You Get Is What You See" (Britten, Lyle) – 4:28
  8. "Let's Stay Together" (7" Edit) (Green, Jackson, Mitchell) – 3:39
  9. "River Deep - Mountain High" (Toleo asili la 1966) (Barry, Greenwich, Spector) – 3:37
  10. "Steamy Windows" (White) – 4:02
  11. "Typical Male" (Britten, Lyle) – 4:14
  12. "We Don't Need Another Hero (Thunderdome)" (7" Edit) (Britten, Lyle) – 4:14
  13. "Private Dancer" (7" Edit) (Knopfler) – 4:01
  14. "Look Me in the Heart" (Kelly, Steinberg) – 3:41
  15. "It Takes Two" (duet with Rod Stewart) (Moy, Stevenson) – 4:13
  16. "I Want You Near Me" (Britten, Lyle) – 3:53
  17. "Way of the World" (Hammond, Lyle) – 4:19
  18. "Love Thing" (Hammond, Knight) – 4:28

Toleo la Australia[hariri | hariri chanzo]

Diski 1

  1. "The Best" (7" Edit) (Chapman, Knight) – 4:10
  2. "Better Be Good to Me" (7" Edit) (Chapman, Chinn, Knight) – 3:40
  3. "I Can't Stand the Rain" (Bryant, Miller, Peebles) – 3:44
  4. "What's Love Got to Do with It" (Britten, Lyle) – 3:50
  5. "I Don't Wanna Lose You" (Hammond, Lyle) – 4:18
  6. "Nutbush City Limits" (The 90's Version) (Turner) – 3:44
  7. "What You Get Is What You See" (Britten, Lyle) – 4:28
  8. "Let's Stay Together" (7" Edit) (Green, Jackson, Mitchell) – 3:39
  9. "Addicted to Love" (Live/Single Mix) (Palmer) – 5:04
  10. "River Deep - Mountain High" (Toleo asilia la 11966) (Barry, Greenwich, Spector) – 3:37
  11. "Steamy Windows" (White) – 4:02
  12. "Typical Male" (Britten, Lyle) – 4:14
  13. "We Don't Need Another Hero (Thunderdome)" (7" Edit) (Britten, Lyle) – 4:14
  14. "Private Dancer" (7" Edit) (Knopfler) – 4:01
  15. "Look Me in the Heart" (Kelly, Steinberg) – 3:41
  16. "It Takes Two" (duet with Rod Stewart) (Moy, Stevenson) – 4:13
  17. "I Want You Near Me" (Britten, Lyle) – 3:53
  18. "Way of the World" (Hammond, Lyle) – 4:19
  19. "Love Thing" (Hammond, Knight) – 4:28

Diski 2 –Diski ya Ziada

  1. "(Simply) The Best" (kwa ushirikiano na Jimmy Barnes) – 4:11
  2. "I'm a Lady" (Britten, Lyle)
    • B-side to "Love Thing"
  3. "I Can't Stand the Rain" (Toleo la Extended) (Bryant, Miller, Peebles) – 5:43
  4. "Be Tender with Me Baby (David, Hammond) – 4:17
  5. "Show Some Respect" (Britten, Shifrin) – 3:17
    • Kutoka kwa filamu ya 1984 ya Private Dancer

Unawili katika Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1991) Kilele
Dutch Albums Chart 1
UK Albums Chart 2
Swiss Albums Chart 3
German Albums Chart 4
Swedish Albums Chart 5
Norwegian Albums Chart 6
Austrian Albums Chart 8
Finnish Albums Chart 19
New Zealand Albums Chart 1
Belgium Albums Chart 23
US Billboard R&B Chart 99
US Billboard 200 Chart 113

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]