Silaha za moto
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Silaha ya moto)
Moto kutoka mdomo wa mzinga wa faru ni kubwa
Silaha za moto ni vifaa vinavyorusha risasi dhidi ya shabaha kupitia kasiba yake kwa nguvu ya gesi inayopanuka kutokana na kuchomeka ghafla kwa baruti ndani ya silaha yenyewe. Kutokana na mlipuko wa baruti ndani ya silaha moto huonekana mdomoni mwa silaha kila safari risasi imefytuliwa.
Kati ya silaha za moto ni kwa mfano:
Kuna pia silaha zinazorusha risasi kupitia kasiba ambazo si silaha za moto kwa mfano bunduki ya hewa. Wataalamu hufanyia utafiti silaha mpya zinazorusha risasi kwa kutumia nguvu ya sumakuumeme.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: