Siegfried & Roy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Siegfried & Roy
001 Siegfried und Roy 100 Jahre magischer Zirkel im Gasteig.JPG
Siegfried & Roy, 2012
Amezaliwa 13 Juni 1939 (1939-06-13) (umri 74) (Siegfried)
3 Oktoba 1944 (1944-10-03) (umri 69) (Roy)
Germany

Siegfried Fischbacher & Uwe Ludwig Horn (amezaliwa tar. 1939 / 1944) ni wasanii wa mazingaombwe kutoka nchini Ujerumani waliokuwa mashuhuri kutokana na maonyesho yao huko Marekani mjini Las Vegas yaliyotembelewa na watazamaji zaidi ya milioni 25. Walikuwa mashuhuri hasa kutokana na michezo yao pamoja na chui milia weupe uwanjani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]