Siasa ya Nigeria hutendeka katika mfumo wa ushirikisho wa urais wa demokrasia wakilishi jamhuri, ambapo Rais wa Nigeria (Umaru Musa Yar'Adua) ambaye ni mkuu wa nchi na pia kiongozi wa serikali, na mfumo wa vyama vingi. Serikali ndiyo yenye mamlaka makuu. mamlaka ya bunge yako katika serikali na pia vyumba viwili vya bunge,ambayo ni Baraza la mawakilishi na Seneti. Pamoja vyumba viwili vya sheria hufanya mwili maamuzi nchini Nigeria kinachoitwa Bunge. Mahakama ya juu mkono wa serikali ya Nigeria ni Mahakama Kuu ya Nigeria. Nigeria pia hutumia nadharia yaBaron de Montesquieu katika mgawanyo wa madaraka. Kazi ya bunge ni kufuatilia vitendo vya serikali.
Tawi la Mtendaji [hariri]
Rais huchaguliwa na watu. Yeye ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali na pia mkuu wa Shirikisho Mtendaji wa Baraza. Nigeria ina mzunguko wa urais ili kanda kuu tatu za Nigeria (Kaskazini, Mashariki na Magharibi) kushiriki kudhibiti siasa ya nchi.
Tawi mtendaji imegawanywa katika Wizara zifuatazo: [1] [2] [3]
Shirikisho Mtendaji wa Baraza (Cabinet) [hariri]
Muhuri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Nigeria
* Mawaziri waliapishwa katika ofisi zao tarehe 26 Julai 2007 na mchanganyiko wa mawaziri ulifanywa katika mwezi wa Desemba 2008. * Tafadhali ni vizuri kujua ya kwamba Mawaziri wa nchi waliapa pia.
Tawi la Bunge [hariri]
Bunge la Nigeria ina vyumba viwili. Baraza la Wawakilishi imesimamiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi. ina wabunge 360, waliochaguliwa kwa muda wa miaka minne katika majimbo ya kiti kimoja. Seneti inaongozwa na Rais wa SenA. Ina wajumbe 109, waliochaguliwa kwa muda wa miaka minne katika majimbo 36 yenye viti tatu ( kuwa sawa na majimbo) 36 ya nchi) na kiti kimoja katika jimbo la kiti kimoja (mji mkuu wa shirika hili ambao ni,mji wa Abuja).
Tawi La Mahakama [hariri]
Tawi hili la mahakama limeundwa hasana Mahakama Kuu ya Nigeria, ambayo ni mahakama ya juu katika nchi. linasimamiwa na Jaji Mkuu wa Nigeria na na majaji washirika kumi na tatu,ambao huteuliwa na Rais wa Nigeria kutokana na mapendekezo ya Baraza na Mahakama ya Taifa chini na Kipaimara kutoka Seneti.
Vyama vya kisiasa na uchaguzi [hariri]
e • d Summary of the 1 April 2007 Nigerian presidential election results
| Candidates – Parties |
Parties |
Votes |
% |
| Umaru Yar'Adua |
Peoples Democratic Party (PDP) |
24,638,063 |
69.82 |
|
| Muhammadu Buhari |
All Nigeria Peoples Party (ANPP) |
6,605,299 |
18.72 |
| Atiku Abubakar |
Action Congress (AC) |
2,637,848 |
7.47 |
| Orji Uzor Kalu |
Progressive Peoples Alliance |
608,803 |
1.73 |
| Attahiru Bafarawa |
Democratic Peoples Party (DPP) |
289,324 |
0.82 |
| Chukwuemeka Odimegwu Ojukwu |
All Progressives Grand Alliance |
155,947 |
0.44 |
| Pere Ajuwa |
Alliance for Democracy (AD) |
89,241 |
0.25 |
| Chris Okotie |
Fresh Democratic Party |
74,049 |
0.21 |
| Patrick Utomi |
African Democratic Congress (ADC) |
50,849 |
0.14 |
| Ambrose Owuru |
Hope Democratic Party |
28,519 |
0.08 |
| Emmanuel Okereke |
African Liberation Party (ALP) |
22,677 |
0.06 |
| Lawrence Adedoyin |
African Political System (APS) |
22,409 |
0.06 |
| Habu Fari |
National Democratic Party |
21,934 |
0.06 |
| Maxi Okwu |
Citizens Popular Party (CPP) |
14,027 |
0.04 |
| Bartholomew Nnaji |
Better Nigeria Party |
11,705 |
0.03 |
| Emmanuel Obayuwana |
National Conscience Party |
8,229 |
0.02 |
| Olapade Agoro |
National Action Council |
5,752 |
0.02 |
| Mojisola Obasanjo |
Nigerian Masses Movement |
4,309 |
0.01 |
Kigezo:Nigerian legislative election, 2003
Mfumo wa kisheria [hariri]
Kuna mifumo minne tofauti ya sheria nchini Nijeria: Sheria ya Kiingereza ambayo imechukuliwa kutoka ukoloni wake zamani na Uingereza, Sheria ya kawaida,sheria ya Katiba (zote mbili zilizunduliwa baada ya ukoloni), na sheria yaSharia,ambayo hutumiwa tu na Hausa na waislamu kaskazini mwa nchi. Kama Marekani, kuna tawi la Mahakama ikiwa na Mahakama Kuu ambayo ni mahakama iliyo juu nchini.
Maeneo ya utawala [hariri]
Shirikisho limegawanywa katika majimbo 36 na eneo 1 *; makao mkuu ya shirikiho (Abuja) *, [[Abia, Adamawa, Akwa Ibom, Anambra, Bauchi, Bayelsa, Benue, Borno, Cross River, Delta, Ebonyi, Edo, Ekiti, Enugu, Gombe, IMO, Jigawa, Kaduna, Kano, Katsina, Kebbi, Kogi, Kwara, Lagos, Nasarawa, Niger, Ogun, Ondo, Osun, Oyo, Plateau, Rivers, Sokoto, Taraba, yobe, Zamfara]]
Kila jimbo limegawanywa katika Maeneo ya Serikali za Mitaa yanayojilikana kwa luga ya kimombo kama LGAs. Kuna LGAs 774 nchini Nigeria. [4] Maeneo haya yameorodheshwa katika makala kwa kuwa jimbo. Jimbo la Kano lina idadi kubwa ya Serikali za Mitaa kwa mitaa 44, na Bayelsa ndilio jumba amabalo lina kiasi ambayo ni 9 . Mji mkuu wa shirikisho hili Abuja ina mitaa 6 . [4] Maeneo ya Serikali za Mitaa yalichukua nafasi ya Wilaya ambayo ilikuwa kitengo cha tatu chini wakati wa utawala wa serikali ya Uingereza.
-
Kikosi cha jeshi ya Nigeria kimekuwa na jukumu kubwa katika historia ya nchi, kwa kuachisha udhibiti wa nchi na kutawala katika vipindi kuu ya historia yake. Kipindi cha mwisho cha kikosi hiki cha wa utawala kilimalizika mwaka wa 1999 kufuatia kifo cha kiongozi wa awali wa kikosi hiki cha jeshi Sani Abacha j mwaka wa 1998.
Wafanyakazi katika huduma tatu za Nigeria zilizo na silaha ni jumla takriban 76,000. Jeshi ya Nigeria, ambayo ndiyo kubwa, ina wafanyakazi takriban 60,000 wanaotumika katikamaeneo mbili, kundi la Garrison amri ya Lagos (airbone na amphibious)( kitengo cha mgawanyiko wa kawaida ), na Brigadia Walinzi walio Abuja Kundi limeonyesha uwezo wake wa kuhamasisha, kupeleka, na kuendeleza wanajeshi katika kusaidia shughuli za kulinda amani nchini Liberia, Yugoslavia ya zamani, Angola, Rwanda, Somalia, na Sierra Leone. Wanajeshi wa majiwaNigeria (7.000) wamejihami kwafrigates,ndege za mashambulio na boti za doria katika mwambao. wanajwshi wa anga Nigeria (9.000) wanasafirisha, wakufunzi,wana helikopta, na ndege za vita, lakini nyingi zao hazitumiki. Nigeria pia ilianzisha sera ya kuendeleza mafunzo ya ndani na uzalishaji wa uwezo wa kijeshi. Nigeria imeendelea na sera ya mseto katika manunuzi ya kijeshi kutoka nchi mbalimbali. Baada ya kuanzishwa kwa vikwazo na mataifa mengi ya Magharibi, Nigeria iligeukia Jamhuri ya Watu wa Uchina, Urusi, Korea ya Kaskazini, na India kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kijeshi na mafunzo.
Uhusiano wa Kigeni [hariri]
Nigeria iko bora sasa katika mahusiano ya kigeni kutokana na hali yake ya sasa ya demokrasia ingawa haikuwa imara kabisa na pia kutokana na msaada wa zamani wa rais Obasanjo. Ni mwanachama wa Umoja wa Afrika nahuketi katika shirika laBaraza la Amani na Usalama. Tangu mwaka wa 1960 Nigeria imekuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa na pia ilijiunga na Jumuiya ya nchi zilizokoloniwa na Uingereza mwaka huo huo, hata hivyo kuahirishwa kw muda mfupi kati ya 1995 na 1999. Nigeria ni mwanachama wa ACP, AfDB, C, ECA, AU ECOWAS, FAO, G-15, G-19, G-24, G-77, IAEA, IBRD, ICAO, ICCt, ICC, ICRM, IDA, IFAD, IFC , IFRCS, iho, ILO, IMF, IMO, Inmarsat, Intelsat, Interpol, Ìöç, ISO, ITU, MINURSO, NAM, OPCW, OPEC, PCA, UN, UNCTAD, UNESCO, UNHCR, UNIDO, UNIKOM, UNITAR, UNMIBH, UNMIK , UNMOP, UNMOT, UNU, UPU, WCL, WCO, EFTU, WHO, WIPO, WMO, WToO, WTrO
Angalia pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
|
Siasa ya Afrika
|
|
| Nchi huru |
|
|
| Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa |
|
|
| Maeneo ya Afrika ya kujitawala chini ya nchi nyingine |
|
|
|
|
|