Shorobo uzuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Shorobo Uzuri)
Shorobo uzuri
Picha ya Shorobo uzuri
Picha ya Shorobo uzuri
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Musophagiformes (Ndege kama shorobo)
Familia: Musophagidae (Ndege walio na mnasaba na shorobo)
Jenasi: Musophaga (Shorobo)
Isert, 1788
Spishi: M. rossae
Gould, 1852

Shorobo uzuri (Musophaga rossae) ni ndege wa Afrika wa rangi ya buluu wa familia ya Musophagidae.

Spishi hii hupatikana katika nchi za Angola, Botswana, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Kenya, Rwanda, Sudan, Tanzania, Uganda na Zambia.

Ndege hawa hupatikana sana wakifugwa.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shorobo uzuri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.