Shirika la Bidhaa Pepe Huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Free Software Foundation
Shirika la Bidhaa Pepe Huru
Free Software Foundation logo
Aina ya jumuiya: NGO na ni Shirika Lisilo na Maslahi
Mahali: Boston, Massachusetts
Uga: Bidhaa pepe Huru
Huduma: GNU Project
GPL
LGPL
GFDL
Tovuti: www.fsf.org

Free Software Foundation (FSF) ni Shirika Lisilo la Kiserikali. Lilianzishwa mnamo tar. 4 Oktoba ya mwaka wa 1985 na Richard Stallman kwa lengo la kusaidia harakati za bidhaa pepe huru ("huru" na "uhuru zaidi"), ususani ilikuwa kwa ajili ya mradi wa GNU.

[hariri] Viungo vya Nje