Shamsi Vuai Nahodha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shamsi Vuai Nahodha (amezaliwa 20 Novemba, 1962) alikuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar kuanzia tar. 15 Novemba 2000 hadi tar. 9 Novemba 2010, ambapo cheo hicho kiliondolewa. Mnamo tar. 9 Novemba, 2005, alichaguliwa tena kuwa kama Waziri Kiongozi na Rais Amani Abeid Karume.[1] Huyu ni mwanachama wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nahodha reappointed Chief Minister. The Guardian (Zanzibar) (2005-11-10). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-08-02. Iliwekwa mnamo 2009-09-01.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shamsi Vuai Nahodha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.