Sezen Aksu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sezen Aksu | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Fatma Sezen Yıldırım |
| Amezaliwa | 13 Julai 1954 |
| Asili yake | Sarayköy, Uturuki |
| Aina ya muziki | Pop |
| Kazi yake | Mwimbaji Mtunzi |
| Miaka ya kazi | 1975–hadi leo |
| Tovuti | Tovuti Rasmi |
Sezen Aksu (amezaliwa kama Fatma Sezen Yıldırım) (mnamo tar. 13 Julai, 1954 mjini Denizli) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchi Uturuki. Ni maarufu sana kwa nchini humo na nje ya nchi ya Uturuki. Aksu amepata kuuza nakala za albamu zake zaidi ya milioni 40. Aksu pia humwita "Malkia wa Pop wa Uturuki".
Aksu pia huwa anatoa msaada kwa wasanii wengine wa muziki kwa ktunga nyimbo pamoja na kisha kuziimba pamoja nao. Alishwahi kufanya kazi na mwimbaji mwingine wa Kituruki Bw. Tarkan.
Yaliyomo |
[hariri] Wasifu
[hariri] Maisha ya awali
[hariri] Muziki
[hariri] Marejeo
[hariri] Viungo vya nje
- Sezen Aksu Video Klipleri
- Sezen Aksu kwenye Internet Movie Database
- Can Dündar - Hey gidi günler! (Kituruki)
- The Official Sezen Aksu Web Site
- The Sezenciler Fansite
- sezen.onlinecosmos.com
| Makala hii kuhusu muziki wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sezen Aksu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |