Sengerema
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Sengerema | |
| Mahali pa Sengerema katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 2°39′S 32°38′E / 2.65°S 32.633°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mwanza |
| Wilaya | Sengerema |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 49,806 |
Sengerema ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Sengerema ilihesabiwa kuwa 49,806 [1].
Kuna Telecentre Wilayani Sengerema. Ipo kwenye kwenye makutano ya barabara za Kamanga na Busisi.
| Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bupandwamhela • Busisi • Buyagu • Buzilasoga • Chifunfu • Igalula (Sengerema) • Kafunzo • Kagunga (Sengerema) • Kalebezo • Kasungamile • Katunguru • Katwe • Kazunzu • Lugata • Maisome • Nyakalilo • Nyakasasa • Nyakasungwa • Nyamatongo • Nyamazugo • Nyanzenda • Nyehunge • Sengerema • Sima • Tabaruka |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sengerema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |