Selena Gomez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Selena Gomez
Selena nmano 2022
Selena nmano 2022
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Selena Marie Gomez
Amezaliwa 22 Julai 1992 (1992-07-22) (umri 31)
Asili yake Marekani
Aina ya muziki Pop, rock
Kazi yake Mwimbaji, Mwanamitindo, Mwigizaji
Miaka ya kazi 2002–hadi leo
Studio Hollywood Records
Tovuti selenagomez.com


Selena Marie Gomez (alizaliwa 22 Julai 1992) ni mwigizaji filamu na mwimbaji wa kike kutoka nchi ya Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Kiss & Tell, A Year Without Rain na When the Sun Goes Down.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Kama Maelezo
2003 Spy Kids 3-D: Game Over Waterpark Girl
2005 Walker, Texas Ranger: Trial by Fire Julie
2008 Another Cinderella Story Mary Santiago Alishinda tuzo mbili
2008 Horton Hears a Who! Helga sauti
2009 Princess Protection Program Carter Mason Alishinda tuzo ya Teen Choice Award
2009 Wizards of Waverly Place: The Movie Alex Russo
2009 Arthur and the Revenge of Maltazard Princess Selenia
2010 Arthur 3: The War of the Two Worlds Princess Selenia
2010 Ramona and Beezus Beezus Quimby
2011 Monte Carlo Grace Bennett / Cordelia Winthrop Scott Alishinda tuzo ya Hollywood Teen TV Award
2011 The Muppets Yeye mwenyewe
2012 Funny or Die Woman
2012 Hotel Transylvania Mavis sautius
2013 Spring Breakers Faith
2013 Aftershock Shelby
2013 Getaway Kid
2013 Girl Rising Mtangazaji
2013 Searching Violet
2014 Behaving Badly Nina Pennington
2014 Rudderless Kate Ann Lucas
2015 Unity Mtangazaji
2015 Hotel Transylvania 2 Marvis
2015 The Big Short Mwenyewe
2016 The Fundamentals of Caring Dot
2016 Neighbors 2: Sororoty Rising Madison
2016 In Dubious Battle Lisa
2018 Hotel Transylvania 3 Mavis
Tamthilia
Mwaka Tamthilia Kama Maelezo
2002–04 Barney & Friends Gianna Vipindi 14
2006 Brain Zapped Emily Grace Garcia
2006 The Suite Life of Zack & Cody Gwen Kipindi 48: "A Midsummer's Nightmare" (2.22)
2007 Arwin! Alexa
2007 What's Stevie Thinking? Stefanie "Stevie" Sanchez
2007–08 Hannah Montana Mikayla
2007–12 Wizards of Waverly Place Alex Russo Alishinda tuzo 15
2008 Jonas Brothers: Living the Dream Mwenyewe "Hello Hollywood" (1.7)
2008 Studio DC: Almost Live Mwenyewe
2008 Disney Channel Games Mwenyewe
2009 The Suite Life on Deck Alex Russo Kipindi cha 21: "Double-Crossed" (1.21)
2009 Sonny with a Chance Herself Kipindi cha 13: "Battle of the Networks' Stars" (1.13)
2011 So Random! Mwenyewe
2011 PrankStars Herself Kipindi: "Something to Chew On"
2013 The Wizards Return: Alex vs Alex Alex Russo
2014-15 We Day Mtangazaji
2015 The Voice Mwenyewe/Mwalimu
2015 The Victoria's Secret Fashion Show Mwenyewe
2016 Saturday Night Live Mwenyewe
2016 Inside Amy Schumer Mwenyewe
2017 13 Reasons Why Mtayarishaji
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selena Gomez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.