Santa Monica, California
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Santa Monica | |
| Nchi | Marekani |
|---|---|
| Jimbo | California |
| Kitongoji | Los Angeles |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 88,050 |
| Website: www.smgov.net | |
Santa Monica ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 88,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 32 kutoka juu ya usawa wa bahari.
[hariri] Viungo vya nje
- Ramani ya Santa Monica
- City of Santa Monica
- Santa Monica Convention and Visitors Bureau
- Santa Monica Chamber of Commerce
| Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Santa Monica, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |