Saning'o Kaika Ole Telele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Saning'o Kaika Ole Telele (amezaliwa tar. 15 Januari 1954) ni mbunge wa jimbo la Ngorongoro katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Saning'o Kaika Ole Telele (17 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.