Samuel Mqhayi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel Edward Krune Mqhayi (1 Desemba 1875 - 29 Julai 1945) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika kwa lugha ya Kixhosa. Alifanya kazi kama mwalimu na mhakiki na kutolea maandishi mbalimbali pamoja na mashairi na riwaya.
Maandishi yake [hariri]
- Ityala Lamawele (riwaya, 1914)
- UDon Jadu (1929)
- Inzuzo (mashairi, 1943)
- U-Mqhayi wase-Ntab'ozuko (tawasifu, 1939)
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samuel Mqhayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |