St. Pierre na Miquelon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Saint Pierre na Miquelon)
Rukia: urambazaji, tafuta
Saint-Pierre et Miquelon
Bendera ya Saint-Pierre na Miquelon Nembo la Saint-Pierre na Miquelon
Wito: A mare labor (Kazi kutoka bahari)
Lugha rasmi Kifaransa
Mji Mkuu St. Pierre
Rais wa Halmashauri Kuu Stéphane Artano
Mkuu wa Mkoa (Préfet) Albert Dupuy
Eeno
 – Jumla
 – % maji

 242 km²
 0.0%
Idadi ya wakazi
 – Jumla (2005)

 7,012
Pesa Euro (€;EUR)
Jamla la pato la eneo
(Wanazaa kiasi gani cha mali kwa mwaka)
$48.3 Millioni
Kanda la saa UTC-3
Simu ya eneo 508 ¹
Intaneti TLD .pm
1. 0508 kutoka Ufaransa bara.
Stpierremap.png
Miquelon
Ramani

Saint-Pierre na Miquelon ni funguvisiwa na eneo la ng'ambo la Ufaransa (Collectivité d'outre mer) karibu na pwani la Kanada katika bahari ya Atlantiki

Yaliyomo

Jiografia [hariri]

Funguvisiwa iko karibu na jimbo la Newfoundland ya Kanada. Visiwa vikubwa zaidi ni Saint-Pierre (26 km²), Miquelon (110 km²), Langlade (91 km²) halafu kuna visiwa vingine vidogo. Jumla la eneo ni 242 km² penye wakazi 6,316 hasa kisiwani Saint-Pierre (5,618).

Historia [hariri]

Visiwa vimetembelewa na wavuwi kutoka Ulaya tangu karne ya 15. Inaaminiwa ya kwamba makazi ya kwanza ya kudumu ya wavuwi Wafaransa yalianzishwa katika karne ya 17. Tangu vita ya miaka saba visiwa hivi vilikuwa mabaki ya pekee ya koloni ya Kanada ya Kifaransa.

Uchumi [hariri]

Uchumi umetegemea tangu mwanzo na uvuwi. Siku hizi kuna pia utalii.

Siasa [hariri]

Wakazi wa visiwa ni raia wa Ufaransa. Huchagua bunge lao lenye watu 19. Bunge la eneo lamchagua mwakilishi mmoja katika bunge la kitaifa la Ufaransa.

Saint-Pierre na Miquelon si sehemu ya Eneo la forodha la Ulaya.

Viungo vya nje [hariri]


Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu St. Pierre na Miquelon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.