Safura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Safura
Funza (L3) wa safura
Funza (L3) wa safura
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Nusuhimaya: Eumetazoa
Faila: Nematoda
Ngeli: Secernentea
Oda: Strongylida
Familia: Ancylostomatidae
Jenasi: Necator
Spishi: N. americanus

Safura ni aina za minyoo midogo ambayo inasababisha anemia.