Saar
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Saarland)
Mahali pa Saar katika Ujerumani
Saar (Kijerumani: Saarland) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,022 kwenye eneo la 2.568 km². Mji mkuu ni Saarbrücken. Waziri mkuu ni Peter Müller (CDU).
Jiografia[hariri]
Saarland imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine-Palatino.
Miji mikubwa ni pamoja na Saarbrücken na Saarlouis.
Mto Saar na Mosel ni mito muhimu zaidi.
Picha za Thuringia[hariri]
Tovuti za Nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) | |