Ruth Miller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ruth Miller (1919 - 1969) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika hadithi fupi na tamthiliya lakini hasa anajulikana kwa mashairi yake. Alipatwa na saratani na kufa nayo.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Floating Island (mashairi, 1965)
  • Selected Poems (mashairi, 1968)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruth Miller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.