Rushwa (Muleba)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Rushwa
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Muleba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 12,276

Rushwa ni kata ya Wilaya ya Muleba katika Mkoa wa Kagera, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 12,276 waishio humo. [1]

Rushwa ni kata ambayo wananchi wake ni wakulima wa karanga, viazi na mtama wa kutegenezea pombe pamoja na mtama mweupe kwa ajili ya chakula.

Ni mojawapo ya kata zilizoathiriwa sana na Ukimwi katika Tanzania na hivyo kuachiwa mayatima wengi sana (kuna mradi wa Oxfam kwa ajili ya kuwasadia watoto hao.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-18.
Kata za Wilaya ya Muleba - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Biirabo | Bisheke | Buganguzi | Buhangaza | Bulyakashaju | Bumbire | Bureza | Burungura | Goziba | Gwanseli | Ibuga | Ijumbi | Ikondo | Ikuza | Izigo | Kabirizi | Kagoma | Kamachumu | Karambi | Kasharunga | Kashasha | Katoke | Kerebe | Kibanga | Kikuku | Kimwani | Kishanda | Kyebitembe | Mafumbo | Magata Karutanga | Mayondwe | Mazinga | Mubunda | Muhutwe | Muleba | Mushabago | Ngenge | Nshamba | Nyakabango | Nyakatanga | Ruhanga | Rulanda | Rutoro


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rushwa (Muleba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.