Romania
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: Deşteaptă-te, române! | |||||
| Mji mkuu | Bukarest (Bucureşti) |
||||
| Mji mkubwa nchini | Bukarest | ||||
| Lugha rasmi | Kiromania | ||||
| Serikali | Jamhuri Traian Băsescu Emil Boc |
||||
| Uhuru Ilitangazwa ilitambiluwa |
9 Mei 1877 (Kalenda ya Juliasi)2 13 Julai 18783 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
238,391 km² (ya 82) 3 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
22,303,552 (ya 50) 21,680,974 91/km² (ya 104) |
||||
| Fedha | Leu (RON) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .ro | ||||
| Kodi ya simu | +40
- |
||||
| 1Lugha kama Kihungaria, Kijerumani, Kiromani, Kiukraine na Kiserbia hutumiwa kieneo kwenye ngazi kadhaa 3 Mkataba wa Berlin wa 1878. |
|||||
Romania (Kiromania: Româna) ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Hungaria, Serbia, Ukraine, Moldova na Bulgaria. Kuna pwani kwenye Bahari Nyeusi. Romania ina wakazi milioni 23 katika eneo la 238.391 km², mji mkuu ni Bukarest.
Lugha ya nchi ni Kiromania ambayo ni lugha ya Kirumi kama Kifaransa, Kiitalia na Kihispania.
Jiografia [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Romania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||