Rujewa
| Kata ya Rujewa | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mbeya |
| Wilaya | Mbarali |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 27,553 |
Rujewa ni jina la kata ya Wilaya ya Mbarali katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 27,553 waishio humo. [1]
Marejeo [hariri]
- ↑ Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania.
| Kata za Wilaya ya Mbarali – Mkoa wa Mbeya - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chimala | Igurusi | Madibira | Mahongole (Mbarali) | Mapogoro | Mawindi | Msangaji | Ruiwa | Rujewa | Ubaruku | Utengule Usangu |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rujewa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
HISTORIA YA RUJEWA Jina rujewa linatokana na mtu mmoja wa kwanza kuishi rujewa aliyeitwa Mjewa,aliyekuwepo miaka mingi na familia yake wakaitwa Wajewa ndio hata leo hii Pakaitwa Rujewa, WATAWALA WA JADI kwakuwa wenyeji wa mwanzo hapa rujewa walikuwa Wasangu walikuwa na mtawala wao wa jadi aliyeitwa Chifu Merere. Rujewa pia ni maarufu kwa kilimo cha mpunga hasa ukiangalia rujewa ndiko yaliko mashamba ya mbarali estate na mashamba ya mpunga ya kule kapunga,lakini pia wenyeji wa rujewa ni wasangu,wabena,wakinga na hata kuna waburushi kutoka pakistan ambao wamekuwa nao ni wenyeji hasa wa rujewa kwani hufanya shughuli kwa kushilikiana na wenyeji wa rujewa, KIBIASHARA rujewa inasifika kwa kutoa mchele mzuri kuliko eneo lolote la hapa tanzania,na baadhi ya mazao ya biashara yanayolimwa hapa rujewa ni kama alizeti,lakini pia rujewa inastawi mazao mengi ya chakula kama vile karanga,mahindi,ulezi nk Habari hizi ni kulingana na nnavyojua mimi mzawa wa Rujewa Mwl Yassin H.Sanga