Robert Woodrow Wilson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Robert Woodrow Wilson (amezaliwa 10 Januari, 1936) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Arno Penzias na Pyotr Kapitsa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

[hariri] Tazama pia


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Woodrow Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine