Relentless

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Relentless (Albamu ya Natalie Grant)

Relentless
Relentless Cover
Albamu ya Natalie Grant
Imerekodiwa 2008
Aina Nyimbo za Kikristo za Kisasa
Lebo Curb Records
Wendo wa albamu za Natalie Grant
Believe
(2005)
Relentless
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya Natalie Grant
  1. ""I Will Not Be Moved""
  2. ""In Better Hands""
  3. ""Make It Matter""
  4. ""Back at My Heart""
  5. ""Let Go""
  6. ""Perfect People""
  7. ""Our Hope Endures""
  8. ""So Long""
  9. "Wonderful Life""
  10. ""Safe""
  11. ""Make a Way""
  12. ""In Christ Alone""


Relentless ni albamu ya pili kutolewa na mwanamuziki wa Kikristo Natalie Grant. Ilitolewa katika mwaka wa Februari 2008. Nyimbo nne alizoiimba akiwa pekee yake zilitolewa kutoka albamu hii: In Better Hands, I Will Not Be Moved, Perfect People, na Hope Endures.


Nyimbo zake[hariri | hariri chanzo]

  1. "I Will Not Be Moved"
  2. "In Better Hands"
  3. "Make It Matter"
  4. "Back at My Heart"
  5. "Let Go"
  6. "Perfect People"
  7. "Our Hope Endures"
  8. "So Long"
  9. "Wonderful Life"
  10. "Safe"
  11. "Make a Way"
  12. "In Christ Alone" (Nyimbo ya kuongezwa)

Nambari kwenye chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Chati Nambari ya juu kabisa
position
2008 Marekani Billboard 200 81
2008 Marekani Billboard Albamu Maarufu za Kikristo 2


Nyimbo zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wimbo Chati Nambari ya juu kabisa
2007 "In Better Hands" Marekani, Chati ya Nyimbo za Kikristo za Kisasa Maarufu 1
2007 "In Better Hands" Nyimbo Bora za Kikristo kwenye Billboard 5
2008 "I Will Not Be Moved" Marekani, Chati ya Nyimbo za Kikristo za Kisasa Maarufu 4
2008 "I Will Not Be Moved" Nyimbo Bora za Kikristo kwenye Billboard 4
2009 "Perfect People" Nyimbo Bora za Kikristo kwenye Billboard 7
2009 "Our Hope Endures" Nyimbo Bora za Kikristo kwenye Billboard 14

Marejeo[hariri | hariri chanzo]