Raynald Alfons Mrope

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Raynald Alfons Mrope (amezaliwa tar. 13 Agosti 1942) ni mbunge wa jimbo la Masasi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Raynald Alfons Mrope". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.