Balkani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rasi ya Balkani)
Rasi ya Balkani ni jina la kihistoria kwa ajili ya sehemu ya kusini-mashariki ya Ulaya.
Jina limetokana na safu ya milima ya Balkani inayopatikana katika Bulgaria na Serbia.
Nchi za Balkani [hariri]
Hakuna mapatano kikamili ni nchi zipi zinazohesabiwa kuwa sehemu za Balkani lakini mara nyingi hitajwa zifuatazo:
- Albania
- Bosnia-Herzegovina
- Bulgaria
- Kosovo
- Montenegro
- Makedonia
- Serbia
- Ugiriki
- Uturuki (sehemu ya Kiulaya hadi Istanbul)
Mara nyingi hata nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Historia [hariri]
Nchi za Balkani ziko tofauti lakini zinashirikiana historia ya pekee ya pamoja:
- zote zilikuwa sehemu za Dola la Roma
- baadaye zilikuwa kwa vipindi tofauti sehemu za Dola la Uturuki
- zilikuwa eneo la mpakani kati ya
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Balkani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |