Ralf Krewinkel
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ralf Karel Hubert Krewinkel (amezaliwa 12 Novemba 1974) ni mwanasiasa kutoka Uholanzi. Tangu 1 Mei 2011 yeye ni Meya wa Manispaa ya Beek katika jimbo la Limburg, Uholanzi. Alizaliwa Kerkrade (pia Limburg, Uholanzi).
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiholanzi) Ralf Krewinkel nieuwe burgemeester Beek, Rijksoverheid.nl, 25 Machi 2011
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ralf Krewinkel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |