Q (gazeti)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
- Kwa matumizi mengine ya Q, tafadhali fungua Q (maana).
| Paul Rees | Paul Rees |
|---|---|
| Makundi | Muziki |
| Hutolewa | Kila mwezi |
| Mchapishaji | Bauer Media Group |
| Nchi | Uingereza |
| Lugha | Kiingereza |
| Tovuti | Q the Music |
Q ni jina la kutaja gazeti la muziki ambalo hutolewa kila mwezi huko nchini Uingereza. Hadi kufikia mwezi wa Juni katika mwaka wa 2007, gazeti limetoa nakala takriban 130,179.[1]
Gazeti hili lilianzishwa na Mark Ellen na David Hepworth ambao walichoshwa na vyombo vya habari za muziki vya wakati huo, ambapo walikuwa wakihisi kwamba vinadharau vizazi vile ambavyo vinanunua muziki wa CD wa zamani.
Marejeo [hariri]
- ↑ Standard Certificate of Circulation - Q. Audit Bureau of Circulation (2007-08-16). Rudishwa juu ya 2008-02-08.