Pugi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Pugi | ||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Pugi ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Columbidae. Mgongo wao una rangi ya jivu au kahawa na kidari na tumbo zina rangi ya pinki na/au nyeupe. Mabawa ya spishi nyingi, pamoja na spishi za Afrika, yana mabaka kwa rangi ing'aayo. Spishi za zinatokea Afrika chini ya Sahara. Hutafuta chakula chini na hula mbegu hasa lakini matunda, wadudu na makoa pia. Hujenga tago lao mitini au vichakani na jike hutaga mayai mawili.
[hariri] Spishi za Afrika
- Geopelia striata, Pugi milia (Zebra Dove) - imewasilishwa (Shelisheli, Réunion)
- Oena capensis, Tutu au Pugi-kombamwiko (Namaqua Dove)
- Turtur abyssinicus, Pugi domo-jeusi (Black-billed Wood Dove)
- Turtur afer, Pugi-wanda (Blue-spotted Wood Dove)
- Turtur brehmeri, Pugi kichwa-buluu ( Blue-headed Wood Dove)
- Turtur chalcospilos, Pugi-kituku (Emerald-spotted Wood Dove)
- Turtur tympanistria, Pugi-kikombe (Tambourine Dove)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Chalcophaps indica (Emerald Dove)
- Chalcophaps stephani (Stephan's Dove)
- Geopelia cuneata (Diamond Dove)
- Geopelia humeralis (Bar-shouldered Dove)
- Geopelia maugei (Barred Dove) - pengine inaainishwa kama spishi ndogo ya G. striata
- Geopelia placida (Peaceful Dove) - pengine inaainishwa kama spishi ndogo ya G. striata
- Geophaps plumifera (Spinifex Pigeon)
- Geophaps scripta (Squatter Pigeon)
- Geophaps smithii (Partridge Pigeon)
- Henicophaps albifrons (New Guinea Bronzewing)
- Henicophaps foersteri (New Britain Bronzewing)
- Ocyphaps foersteri (Crested pigeon)
- Petrophassa albipennis (White-quilled Rock Pigeon)
- Petrophassa rufipennis (Chestnut-quilled Rock Pigeon)
- Phaps chalcoptera (Common Bronzewing)
- Phaps elegans (Brush Bronzewing)
- Phaps histrionica (Flock Bronzewing)