Provence-Alpes-Côte d'Azur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru








Provence-Alpes-Côte d'Azur

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Ufaransa Ufaransa
Mji mkuu Marseille
Eneo
 - Jumla 31,400 km²
Tovuti:  http://www.regionpaca.fr/
Menton, Côte d'Azur, Ufaransa.
Ramani ya Provence-Alpes-Côte d'Azur.

Provence-Alpes-Côte d'Azur (kwa Kioksitania: Provença-Aups-Còsta d'Azur) ni mkoa uliopo nchini Ufaransa.

Mji mkuu wake ni Marseille.

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

  1. Alpes-de-Haute-Provence (04)
  2. Hautes-Alpes (05)
  3. Alpes-Maritimes (06)
  4. Bouches-du-Rhône (13)
  5. Var (83)
  6. Vaucluse (84)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Provence-Alpes-Côte d'Azur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.